Kikao cha madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kilichofanyika tarehe 29/01/2021 katika uwanja wa Ilulu kimeidhinisha kiasi cha pesa Bilioni 22,145,705,949.00 kwa ajili ya kugharamia mishahara ya watumishi,miradi ya maendeleo ya jamii na matumizi mengineyo.Pia wamepitisha ongezeko la ushuru wa nazi kutoka shilingi 10 mpaka kufikia shilingi 15 kwa nazi moja.Wamewataka wananchi kutoa ushirikiano wa kutosha kulingana na ongezeko hilo.
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa