![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Lindi Ndugu Shaibu Ndemanga Amezindua Rasmi Kampeni ya Kuhamasisha wananchi juu ya utumiaji wa huduma za msingi za afya ambazo zinatolewa katika vituo vya kutolea huduma za Afya Akiongea na Watumishi mbalimbali kutoka Mkoani pamoja na Manispaa Amewataka Watumishi hao pamoja na shirika la RED CROSS TANZANIA kuwa Wajumbe wazuri ambao watapeleka ujumbe kwa Wananchi juu Huduma za Afya huku Akisisitiza Wananchi wapewe elimu na Kujiunga Katika Mfuko wa Bima ya Jamii iliyoboreshwa CHF ikiwa ni hatua Moja wapo ya Kujikinga na Kujiandaa na Magonjwa Mbalimbali.
Pia aliwataka Watumishi hao Kutochoka Kuendelea kutoka Elimu ya Afya kwa Wananchi Ikiwa pamoja na Magonjwa ya Mlipuko kama CORONA na Kipindupindu. Kampeni hii imeanza Rasmi tarehe 16/07/2020 mpaka tarehe 14/08/2020
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa