Ufaulu wa wanafunzi kwa mwaka 2020 umefikia asilimia 85.47 ambapo jumla ya wanafunzi 1477 wakiwemo wavulana 704 na wasichana 773 wamefaulu mtihani huo.
Wanafunzi wengi wakiwa wamefaulu katika wastani wa C
Watahiniwa waliofanya mtihani
|
Waliofaulu kwa daraja |
||||||||||||||||||||
A (250 – 201)
|
B (200 – 151)
|
C (150 – 100)
|
Jumla A – C
(250 – 100) |
||||||||||||||||||
Wv
|
Ws
|
Jml
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
%
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
%
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
%
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
%
|
|||
820
|
908
|
1728
|
35
|
20
|
55
|
3.18
|
271
|
249
|
520
|
30.9
|
395
|
507
|
902
|
52.20
|
701
|
776
|
1477
|
85.47
|
UFAULU KISHULE
Hali ya ufaulu kishule ni kama ilivyoainishwa kwenye kiambatanisho A. Kwa mwaka huu 2020 shule 05 kati ya 33 zimeweza kufaulisha wanafunzi wote kwa asilimia 100. Shule hizo ni Joy, Khairaat, Stadium, Jangwani na Likotwa.
Aidha shule 6 zimeongeza ufaulu kwa kiasi cha juu kama ifuatavyo;
SN
|
SHULE
|
HALI YA UFAULU %
|
ONGEZEKO LA % YA UFAULU MWAKA 2020- UKILINGANISHA NA MWAKA 2019
|
|
2019
|
2020
|
|||
1
|
SHULE YA MSINGI NANDAMBI
|
35
|
70
|
35 |
2
|
SHULE YA MSINGI KIKWETU
|
66.7
|
83
|
16 |
3
|
SHULE YA MSINGI MKUNDI
|
78.6
|
93
|
14 |
4
|
SHULE YA MSINGI MKANGA 1
|
66.7
|
82
|
14 |
5
|
SHULE YA MSINGI JANGWANI
|
92.6
|
100
|
7 |
6
|
SHULE YA MSINGI RUAHA
|
75
|
82
|
7 |
Idadi ya Wanafunzi wote waliofaulu 1477 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa