• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mazingira na Usafi
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
  • E-Learning
    • Joining instructions form
    • past papers
    • Notes

MKURUGENZI AAHIDI KUFANYA UKARABATI MASHULENI

Imetumwa: January 6th, 2021

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Ndugu Jomaary Mrisho Satura akiwa kwenye kikao na walimu wa shule za Manispaa ametoa pongezi kwa walimu hao kwa juhudi wanazozifanya huku akiwaomba kufanya kazi kwa bidii, ufanisi na nidhamu ya hali ya juu kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi ukiongezeka zaidi. Pia katika kikao hicho Mkurugenzi ametoa ahadi ya kukarabati baadhi ya shule ikiwemo shule ya sekondari Mchinga,shule ya msingi Ruaha na Makumba na kupaka rangi baadhi ya shule.

Afisa Utumishi wa Manispaa (wa pili kutoka kushoto) Ndugu Kihanza amewaasa walimu hao kuimarisha mawasiliano baina yao walimu na ngazi ya juu ili kuleta urahisi katika utatuzi wa changamoto kwa haraka. Vilevile amewataka walimu kuwa na nidhamu ya kazi na malengo kwa taasisi yao. Amewakumbusha kuzingatia uimarishaji wa mwili kwa kuzingatia usafi na ulaji wa vyakula bora ili kuepusha magonjwa na kwa upande wa wanafunzi kuwafanyisha mazoezi ya viungo asubuhi (Mchakamchaka).

Pia, Walimu walifanya majadiliano ya jinsi gani ya kutatua changamoto zinazowakabili wanafunzi na walimu mashuleni ikiwepo utafutaji wa suluhu juu ya kutokuwepo kwa kambi kwa madarasa yenye mitihani ya Taifa ili kusaidia ufaulu kwa wanafunzi ambapo Mtaaluma wa elimu amewataka walimu kutumia muda wa kazi vizuri kwa wanafunzi. 

 

                                                                                                                                   

                                                                                                                                              

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI KATIKA MRADI WA MAJI RUTAMBA. January 07, 2021
  • FURSA ZA UWEKEZAJI MANISPAA YA LINDI June 10, 2020
  • FOMU YA MAOMBI YA KUNUNUA KIWANJA June 25, 2020
  • Semina ya uchaguzi kwa walioteuliwa kuwa wasimamizi wa vituo, wasimamizi wasaidizi na karani waongozaji October 15, 2020
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA CHA NNE.

    January 15, 2021
  • MKUU WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI MEJA JENERALI IM MHONA ATEMBELEA MANISPAA YA LINDI

    January 13, 2021
  • MKURUGENZI AAHIDI KUFANYA UKARABATI MASHULENI

    January 06, 2021
  • KITUO CHA AFYA MNAZIMMOJA KIMEANZA KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI.

    January 05, 2021
  • Ona Yote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi, Jomaary Satura azungumzia ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba 2019.
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Municipal Director

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255767042958

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa