Mradi huu wa maji unahusisha yafuatayo:
Gharama za mradi bila VAT: TSHS 315,261,408
Mkandarasi: M/S Gemtech Investment Company LTD
Mteja (Client): Manispaa ya Lindi
Mhandisi Mshauri (Consultant): Mhandisi wa Maji Manispaa ya Lindi
Hali ya Mradi (Status):Jamii inapata huduma ya Maji safi na salama kuanzia Mwezi Septemba 2017,Mradi umefikia 99% ya utekelezaji na kwa sasa upo katika kipindi cha matazamio.
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa