Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kinaandaa, kutekeleza na kutoa msaada kwa watumiaji wa mifumo ya mawasiiano inayosaidia kuendesha shughuli za kila siku za Halmashauri. Lengo kuu kuhakikisha mifumo na vifaa vinavyohusika vinatoa huduma ya uhakika ambayo pia inahakikisha kufikiwa kwa malengo ya Halmashauri. Majukumu ya kitengo ni
Kusimamia shughuli za mawasiliano ya ndani na nje ya Halmashauri.
Kusimamia ubora wa vifaa vya TEHAMA na matumizi salama ya vifaa
Kusimamia mifumo ya mawasiliano, matengenezo na utumiaji kwa kushirikiana na mtaalam wa mifumo ngazi ya mkoa
Kutoa taarifa za ukaguzi wa vifaa vya TEHAMA na kushauri kufanyika kwa matengenezo.
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa