• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mazingira na Usafi
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
  • E-Learning
    • Joining instructions form
    • past papers
    • Notes

Uchumi, Elimu na Afya

Wajumbe wa Kamati ya Uchumi ni:

  • Khalfan Mandanje
  • Frank Magali
  • Ng`ondo Salum Bakari
  • Mwanaidi Daudi Mbungo
  • Athuman Ibrahim Mmaije
  • Yahya Omari Mohamed
  • Matindila Zuhura Bakari
  • Namwete Kasim Ally
  • Hussein Said Kimbyoko
  • Meja Kibibo Seleman
  • Abdallah Omary Mtambule
  • Asha Yusuph Mkukulu
  • Sharifa Salehe Kambanga
  • Esha Said Mpwaga
  • Niger Charles Mpetula
  • Mchinjita Said Mohamed
  • Abeid B. Abeid
  • Kitutuma Athuman Abdullahman
  • Mariam Said Chande

Majukumu ya Jumla
Kushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii, elimu na huduma za maji. Kamati hii pia itashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wanannchi vijijini kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri, kushawishi, kuzindua, kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kutayarisha, kutekeleza, kusimamia na kutathmini mipango yao ya maendeleo.


Majukumu maalum ya Kamati:
(i) Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati
(ii) Kuandaa mipago ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa shule za awali na msingi na elimu ya watu wazima kwa mujibu wa Sheria ya Elimu ya 1978 kama ilivyorekebishwa mwaka 1995.
(iii) Kupendekeza mipango ya ujenzi au upanuzi wa vituo,viwanja, majengo na mazingira ya burudani, starehe, mapumziko na michezo.
(iv) Kuamua juu ya mambo yanayohusu uhifadhi wa mambo ya kale na mandhari mbalimbali yenye sura nzuri.
(v) Kuandaa na kuratibu njia bora juu ya uhifadhi wa nyaraka muhimu kwa ajili ya kumbukumbu hizo zitahifadhiwa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya 288
(vi) Kupendekeza njia bora juu ya uhifadhi wa sanaa mbalimbali za ufundi na za maonyesho kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya 288
(vii) Kupendekeza matumizi mazuri ya lugha ya taifa.
(viii) Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika Taifa.
(ix) Kusimamia uanzishaji wa uendelezaji wa vikundi vya jamii na vya hiari vya wananchi katika Halmashauri kwa mujibu wa Sera wa maendelo ya jamii.
(x) Kusimamia na kuhakiki maeneo ya misitu, mapori, na mbuga zilizotengwa kama hifadhi ya mamlaka ya Serikali za Mitaa.
(xi) Kupendekeza na kufanya tathmini ya uendelezaji wa mabonde, mito na mabwawa.
(xii) Kubuni na kupendekeza namna ya kudhibiti moto
(xiii) Kubuni na kupendekeza mikakati ya utumiaji wa nishati mbadala, kuzuia ukataji miti ovyo, na kuhimiza upandaji miti kwa wingi.
(xiv) Kuhakikisha kwamba ukaguzi wa majengo unafanyika mara kwa mara.
(xv) Kupendekeza mipango madhubuti ya ujenzi wa barabara vijijini na wilayani kwa ujumla.
(xvi) Kupendekeza Sheria Ndogo zinazohusu Kamati hizi.

Matangazo

  • USAJILI WA VIKUNDI VYA KIJAMII VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA MANISPAA YA LINDI April 09, 2021
  • FURSA ZA UWEKEZAJI MANISPAA YA LINDI January 27, 2021
  • FOMU YA MAOMBI YA KUNUNUA KIWANJA January 27, 2021
  • Semina ya uchaguzi kwa walioteuliwa kuwa wasimamizi wa vituo, wasimamizi wasaidizi na karani waongozaji October 15, 2020
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MAOMBOLEZO YA HAYATI DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KIMKOA LINDI

    March 25, 2021
  • HONGERA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    March 20, 2021
  • MATAPWA YAPATA ZAHANATI.

    March 10, 2021
  • KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANA MANISPAA YA LINDI.

    March 08, 2021
  • Ona Yote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi, Jomaary Satura azungumzia ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba 2019.
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Municipal Director

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255767042958

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa