• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mazingira na Usafi
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
  • E-Learning
    • Joining instructions form
    • past papers
    • Notes

Ukaguzi wa Ndani

Majukumu ya kitengo cha ukaguzi wa ndani ni:

  • Kuhakikisha kuwa sera za matumizi ya fedha za serikali zinafuatwa kikamilifu kama zilivyo ainishwa kwenye mamlaka za serikali za mitaa na sera nyinginezo za matumizi ya fedha.
  • Kufanya ukaguzi wa matumizi ya ankara zote za halmashauri kila robo mwaka na kuandaa ripoti kwa afisa masuuli kabla ya tarehe 15 ya mwezi unaofuata robo husika.
  • Kufanya ukaguzi wa miradi na mali zote za halmashauri na kuhakiki uwepo wake kulingana na vitabu vinavyoonyesha (register) na kuandika taarifa na kuiwasilisha kwa afisa masuuli.
  • Kupitia na kuangalia utendaji na mfumo wa kila siku wa halmashauri na kuangalia kama utekelezaji.
  • Kupitia majibu ya hoja za ukaguzi zinazojibiwa na wakuu wa idara na kushauri njia sahihi ya kutatua kurekebisha changamoto zinazojitokeza.
  • Kuangalia na kukagua mifumo ya computer inayotumiwa na Halmashauri na Kutoa ushauri kwa afisa masuuli juu ya ya ufanisi wake au matatizo yanayoikabali mifumo hiyo na namna ya kukabiliana na changamoto zake.

Matangazo

  • USAJILI WA VIKUNDI VYA KIJAMII VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA MANISPAA YA LINDI April 09, 2021
  • FURSA ZA UWEKEZAJI MANISPAA YA LINDI January 27, 2021
  • FOMU YA MAOMBI YA KUNUNUA KIWANJA January 27, 2021
  • Semina ya uchaguzi kwa walioteuliwa kuwa wasimamizi wa vituo, wasimamizi wasaidizi na karani waongozaji October 15, 2020
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MAOMBOLEZO YA HAYATI DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KIMKOA LINDI

    March 25, 2021
  • HONGERA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    March 20, 2021
  • MATAPWA YAPATA ZAHANATI.

    March 10, 2021
  • KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANA MANISPAA YA LINDI.

    March 08, 2021
  • Ona Yote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi, Jomaary Satura azungumzia ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba 2019.
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Municipal Director

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255767042958

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa