Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amewataka wawekezaji wakubwa na wadogo kutoka ndani na nje kuja kwa wingi Lindi kufanya uwekezaji kwa sababu kuna fursa nyingi ambazo hazijafanyiwa kazi.
Dk. Mwakyembe aliyasema hayo wakati akifungua rasmi jukwaa la fursa za biashara na uwekezaji Mkoani Lindi lililoanza tarhe 25 hadi 27 March.
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa