Wakuu wa shule za sekondari waetoa ahadi ya kupandishwa kiwango cha ufaulu wa kidato cha nne mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey Zambi katika kikao cha waadau wa Elimu Manispaa ya Lindi kilichofanyika Jumamosi tarehe 14/07/2018
Mwenge wa Uhuru ulipokelewa katika Manispaa ya Lindi tarehe 25/06/2018 na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe, Shaibu Ndemanga kwenye viwanja vya mto mkavu kata ya Mbanja na kukabidhiwa Zanzibar tarehe 26/06/2018.
Hiki ni mojawapo ya vikundi vinayowezeshwa na TASAF katika kupambana na umasikini kwa kufanya kilimo cha Mbogmboga,kilimo cha mjini.Wanakikundi hawa watapata kipato hivyo kuondokana na umasikini
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa