Mtu yeyote anayetembelea tovuti hii (mtumiaji) anawajibika, na kukubali, kanuni na masharti yaliyowekwa katika notisi hii. Iwapo mtumiaji hataki kubanwa na kanuni na masharti haya, mtumiaji huyo hatatakiwa kuonyesha, kutumia, kuhawilisha (kupakua) au vinginevyo kunakili au kusambaza matini/maudhui yaliyomo kwenye tovuti hii.
Matumizi
Watumiaji wanaweza kuangalia, kunakili, kupakua kwenye kinakilia, kuchapa na kusambaza maudhui ya tovuti hii, au sehemu yoyote ya maudhui, kwa taarifa zilizo za kibiashara au kwa madhumuni ya marejeo tu.
Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kwa vyovyote vile haitahusika na gharama yoyote, hasara au madhara yatakayotokana na kutumia data, inayotokana au kuhusiana na kutumia tovuti hii.
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa