Mganga mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa Lindi -Sokoine anawatangazia wananchi wote wenye sifa ambao wanapenda kuwa wazabuni wa huduma mbalimbali katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi -Sokoine kwa kipindi cha kuanzia tarehe 01/12/2021 hadi tarehe 30/11/2022.Kwa maelezo zaidi bofya hapa
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255717469888
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa