Wananchi wote mnaalikwa kusoma kwa makini rasimu za Sheria Ndogo hizo ambazo zinapatikana katika ofisi ya Mwanasheria wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, tovuti ya Manispaa www.lindimc.go.tz/sheria na katika ofisi zote za kata, kisha kutoa mapendekezo na/au pingamizi kwa maandishi ndani ya siku kumi na nne (14).
pakua katika link zifuatazo;-
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255717469888
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa