TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi ana tangaza nafasi ya kazi ya Mtoa Huduma za Kitaalamu Ngazi ya Jamii (LSP) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya ajira ya muda inayotekelezwa na kaya za walengwa wa TASAF
SIFA ZA MSINGI ZA MTOA HUDUMA (LSP)
Kwa maelezo zaidi bofya hapa TANGAZO LSP 2021
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255717469888
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa