Saturday 28th, May 2022
@MANISPAA LINDI
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Wilaya ya Lindi zinatarajiwa kukimbizwa tarehe 27-28/08/2021 ambapo mkesha wa mwenge huo utafanyika katika viwanja wa vya shule ya msingi Mpilipili.Watu wote mnakaribishwa.
KAULIMBIU ZA UJUMBE WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2021
UJUMBE MKUU
1.1 Matumizi sahihi ya TEHAMA
Kauli Mbiu: "TEHAMA ni msingi wa Taifa endelevu ;Itumie kwa usahihi na Uwajibikaji"
UJUMBE WA KUDUMU:
2.1 Mapambano dhidi ya Rushwa:
Kauli Mbiu: "Ziro Malaria Inaanza na Mimi-Nachukua hatua kuitokomeza"
2.3 Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya:
Kauli Mbiu: "Elimu sahihi juu ya Dawa za Kulevya huboresha huduma kwa Waraibu;Chukua hatua"
2.4 Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI:
Kauli Mbiu: "Mshikamano wa Kitaifa;Tuwajibike kwa pamoja"
2.5 Lishe bora kwa afya imara
Kauli Mbiu: "Tujenge Jamii yenye Afya Imara kwa kuzingatia lishe bora"
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255717469888
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa