Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu ni moja kati ya Idara 13 ndani ya Manispaa ya Lindi ambayo kimsingi majukumu yake yamegawanyika katika sehemu zifuatazo:-
Majukumu ya idara
1.Kusimamia Udhibiti wa taka ngumu (Solid waste management).
TAKWIMU ZA UDHIBITI WA TAKA NGUMU MANISPAA YA LINDI
MWAKA |
IDADI YA WATU |
UZALISHAJI WA TAKA KWA SIKU |
KUSANYWA NA KUTUPWA KWA SIKU |
|
2019 February |
92,453 |
Tani 46 |
Tani 31 |
67% |
2020 March |
94,462 |
Tani 47 |
Tani 34 |
72% |
2021 Februari |
118,292 (Ongezeko na jimbo la mchinga) |
Tani 59 |
Tani 46 |
78%
|
2.Kusimamia Uhifadhi na Udhibiti wa Mazingira (Environmental management)
3.Kusimamia upendezeshaji wa Mji (Environmental beautification)
4.Kusimamia sheria (Law enforcement)
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255717469888
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa