Manispaa ya Lindi imeendelea kupata hati isiyo na mashaka katika hesabu za serikali za mwaka 2020/2021.Manaeno hayo alieleza Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Mkoa wandi Ndugu Deogratius Mtenga katika kikao cha Bazara Maalaumu la Madiwani kilichofanyika tarehe 25/06/2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa DDC Manispaa ya Lindi. Pamoja na pongezi kwa menegiment ya Manispaa ya Lindi katika Kujibu hoja za ukaguzi Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi, Zainab Telack alilisisitiza kuwa Management izingatie kufanya kazi kwa utaratibu na miongozo iliyowekwa ili kuepuka kuibua hoja za ukaguzi.
![]() |
![]() |
![]() |
|
|
|
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255717469888
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa