• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya manispaa ya lindi
Halmashauri ya manispaa ya lindi

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya manispaa ya lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

WANANCHI KIKWETU WASAINI MIKATABA YA ULIPAJI FIDIA KUPISHA UJENZI WA CHUO CHA BAHARI.

Imetumwa: February 10th, 2026

Wananchi wa mtaa wa Kikwetu, kata ya Mbanja katika Manispaa ya Lindi, wameanza rasmi zoezi la kusainisha mikataba ya ulipaji fidia ili kupisha ujenzi wa Chuo cha Bahari (DMI – Ekali 90), mradi mkubwa wa elimu unaotarajiwa kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika eneo hilo.


Zoezi hilo limesimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, huku fedha za mradi wa fidia zikitolewa na Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI). Jumla ya kiasi cha shilingi milioni mia mbili sabini na sita laki tatu elfu nane mia nne ishirini na nane na senti kumi na moja(276,308,428.11) kimetengwa kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi waliopisha maeneo yao.


Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Msimamizi wa Mradi kutoka Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Bw. Victor Kilindo, amesema kuwa zoezi hilo limezingatia sheria, taratibu na haki za wananchi.


“Tunashukuru ushirikiano wa wananchi wa Kikwetu. Mradi huu ni muhimu kwa maendeleo ya elimu ya bahari, na tumefanya kila hatua kwa uwazi na kwa kufuata sheria zote,” alisema Kilindo.


Kwa upande wake, Mthamini kutoka Manispaa ya Lindi, Ndg. Mhaja Msuka, amesema tathmini ya mali za wananchi ilifanyika kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha thamani halisi inalipwa.


“Tumefanya tathmini ya ardhi na mali kwa kuzingatia viwango vya kitaalamu ili kuhakikisha kila mwananchi analipwa fidia stahiki,” alisema Msuka.


Mwanasheria wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Bi. Alice John, amebainisha kuwa mikataba yote ya fidia imesomwa na kufafanuliwa kwa wananchi kabla ya kusainiwa ili kuepusha migogoro ya baadaye.


“Halmashauri imehakikisha mikataba yote inaeleweka vizuri na wananchi wameridhia kwa hiari yao kabla ya kusaini,” alisema Alice John.


Aidha, Mkuu wa Chuo cha Bahari, Tumaini Gurumo, ametajwa kufanya malipo ya uthibitishaji wa mikataba ya fidia kwa wakili, hatua iliyolenga kuongeza uhalali na usalama wa kisheria katika mchakato mzima wa malipo.


Wananchi wa Kikwetu wamepongeza hatua hiyo wakisema ujenzi wa chuo hicho utachochea maendeleo, kuongeza ajira na kukuza shughuli za kiuchumi katika Manispaa ya Lindi.

Matangazo

  • TANGAZO LA UCHAGUZI MKUU WA RAIS WABUNGE NA MADIWANI 2025 TANZANIA BARA.. October 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA October 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MNWELE AONGOZA KIKAO CHA WATAALAM HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI KUANDAA RASIMU YA MPANGO BAJETI MWAKA 2026/2027

    February 15, 2026
  • KILIMO KWANZA MANISPAA YA LINDI: HALMASHAURI YAONGOZA UGAWAJI WA MICHE 12,000 YA MINAZI KWA WAKULIMA

    February 15, 2026
  • VIJANA WA MANISPAA YA LINDI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA UWEZESHAJI WA MAUDHUI MTANDAONI

    February 14, 2026
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI 2025/2026

    February 14, 2026
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa

  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • toto slot
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto