• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

UFUNGUZI WA UMITASHUMTA MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2023.

Imetumwa: May 24th, 2023

Zoezi hilo limefanyika katika viwanja vya Ilulu na  kaimu katibu tawala mkoa wa Lindi Mhe. Majid Mnyao, na kupata kuhudhuriwa na viongoz mbalimbali akiwemo Kaimu mkurugenzi Manispaa ya Lindi Moses Mkoveke, afisa elimu msingi na sekondari Manispaa ya Lindi, waalimu wa shule za msingi pamoja na wanafunzi wa shule za msingi mbalimbali ndani ya mkoa wa Lindi.

 Katika zoezi hilo kaimu katibu tawala alipata kupokea zawadi ya jezi, mipira ya miguu (70), kikapu, volleyball, hand ball, tufe na mikuki kutoka kwa mkurugenzi wa taasisi ya Sport development Aid, Lucas Ramson, ambaye ni mdhamini wa michezo hiyo kwaajili ya kusaidia katika michezo hiyo ambayo imeanza leo mei 24 na kuisha mei 26 ambapo itapatikana timu ya mkoa wa Lindi kwaajili ya kwenda kuwakilisha katika mashindano ya kitaifa  ambayo yataanza mnamo tarehe 2 Juni, 2023 yatafanyika Mkoa wa Tabora.

Mnyao amesema Michezo hutoa ajira lakini pia hufanya mwili uwe na afya bora. Sambamba na hilo amempongeza Mdhamini wa michezo hiyo ambaye ni sport Development Aid kwa kutoa vifaa hivyo vya michezo ambavyo vina kwenda kusaidia wanafunzi hao katika michezo hiyo ya UMITASHUMTA.

Katika hatua nyinyie amesisitiza vifaa hivyo vitumike na kutunzwa vizuri ili viweze kutumika kwa mda mrefu mpaka mwisho wa mashindano hayo lakini pia ameomba wadau wengine kuunga mkono michezo hiyo.

Mwisho Mhe. Mnyao aliwatakia safari njema wote  watakao chaguliwa kushiriki katika michezo hiyo kitaifa kwaajili ya kuwakilisha mkoa wa Lindi.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI WA BODI YA AJIRA August 16, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. July 12, 2023
  • FOMU YA MAOMBI YA KUNUNUA KIWANJA June 30, 2023
  • FOMU YA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO SHULE YA SEKONDARI LINDI WASICHANA June 20, 2023
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWASIHI WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI LINDI WASICHANA KUSOMA KWA BIDII.

    September 19, 2023
  • IDARA YA AFYA,LISHE NA USTAWI WA JAMII MANISPAA YA LINDI YAKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI LINDI WASICHANA NA KUWAPATIA HUDUMA MKOBA (MOBILE CLINIC).

    September 17, 2023
  • MAFUNZO KWAAJILI YA KUWAJENGEA UWEZO WATOA HUDUMA NGAZI YA JAMII (CHWs).

    September 18, 2023
  • NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI MAALUM YA SAYANSI WASICHANA LINDI NA KUSHIRIKI MLO WA PAMOJA NA WANAFUNZI.

    September 10, 2023
  • Ona Yote

Video

Tamko la Mkuu wa Wilaya ya Lindi kuhusu zahanati ya Mnali
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa